mke alishamkimbia kwakuwa alikuwa kila siku ana shinda kwa ShiloleHahahahah nilikuwa namfuatilia huyu jamaa hadi alipotoa hio kauli juzi..
This muthafvqa is psych...huu sio uchawa ni wazimu! Huwezi kusema upo tayari kufa sababu ya binadamu mwenzio au kumfanyia all that he wishes...Ni ushoga!!!
I just cant imagine uongee hayo mkeo anakusikiliza huko nyumbani. Bora hata mkewe hajulikani which i doubt kwa akili hizi hata kama still wako pamoja.
Hiyo ya uchawa unaijua wewe na chuki zako za kimasikini,watoto wanachojua ni kwamba baba yao ni mtangazaji wa redio ,pia ni msanii kitambo kabla hata hajawa na ukaribu na simba.Maisha hayako fair yaan, halafu sasa watoto wanasoma huko shule ya St flan, huku wakijua baba ni chawa inaleta picha gan kwao?
kwa mujibu wa kiapo ni suala lipo ndani ya uwezo wakeChibu akimuomba taqor pia atampa sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahmke alishamkimbia kwakuwa alikuwa kila siku ana shinda kwa Shilole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah afu anavosema hayo yupo mkavu wala hanaga mshipa wa aibu khaaaaah.Kuna shida mahali.. Juzi Kati akifanyiwa mahojiano na Zawaradi.. Alisema MOJA ya mambo anayoyapenda Sana ni Kupiga punyeto kuliko kufanya mapenzi kawaida, tena Anaitumia Sana Hiyo njia kujiridhisha Akiwa mbali na mke wake.. kingine ni kucheza kamali.. SASA kwa maelezo hayo Kuna shida katika kichwa chake.
Lishikwe mara ngapi?Hili hata likishikwashikwa matako na Diamond litacheka cheka tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] halafu umenikumbusha hao wadudu asee, full usnitchhuyu sio chawa ni mdudu wa taa.wale taa ikiwaka wanajaa kwenye taa afu ikizima wanakimbia
Nuia hiyo dhamira maana Dar ungese umetamalakiHio ndio dar es salaam sitokuja kuishi hilo jiji
Alianza na shilole sasa hivi kahamia kwa diamondNilikua namkubal Sana zaman Siku hiz sijui kawaje, imagine kuwa na Baba kama Baba levo, mxieew, kuna umri mwingine kuwa chawa hata haipendezi, Sijui hana ndugu wa kumshauri , yani umaskin mbaya sana , tusomeshe tu watoto wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lishikwe mara ngapi?
Alipata 11M mafao.Mafao ya mil 50 za udiwani aliT0mB3A? Sasa Dimondi akitaka kwa MPALANG3 atampa?
Sasa alifanyia nn hizo? Mbona mtaji tosha kabisaa.Alipata 11M mafao.
( Aliisema mwenyewe )