Tuwekee na picha mkuuAkizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa kuwa chawa lakini yeye atatumia nafasi hiyo endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wa Jimbo hilo atawaletea maendeleo
"Nilisimama na nyie kuwatetea kwa kila hali lakini pia kuhakikisha hakuna anayewanyanyasa katika mkoa huu, acheni nikafanye uchawa nyie mpate maendeleo Kigoma" amesema Clayton Chipando (Baba Levo)
Soma pia
tayari mkuuTuwekee na picha mkuu