Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo.
Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya CCM basi atamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT Wazalendo.
Ni rasmi sasa wasanii wote isipokuwa Nay wa mitego na Roma ambaye nae haeleweki, wamenunuliwa.