GE2025 Baba Levo: Wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, wameharibu bendera, mabango na kuwashambulia Wanachama kwa Mawe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
​

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Baba Levo, amekishutumu chama cha ACT Wazalendo kwa kuonyesha dalili za kushindwa katika uchaguzi, na kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi.

Katika andiko lake, Baba Levo amedai kwamba wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, kuharibu bendera na mabango ya chama, na jana (Oktoba 11) walishiriki katika kuwashambulia wanachama wa CCM. Amedai kwamba baadhi ya wanachama wa CCM walipigwa vibaya na kutumia mawe na chupa, huku baadhi wakitumia silaha kama visu na mapanga.



Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Watekaji vs wasaliti. Hii vita haituhusu hatuwaonei huruma ng'ooo mmalizane wenyewe watoto wa mama mmoja.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mtajuana wwnyewe, uaneni kabisa hamna faida kwa taifa!
 
Hivyo ni vyama pacha pengine ndo utani wao
Au pengine ccm wamechana kutafuta huruma za wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…