Baba Mchagga Mama Mdigo

Baba Mchagga Mama Mdigo

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,172
Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar miaka ya mwishoni mwa 80/late 80's....
Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI MWANAUME WA WAPI??
 
"MDIGO MZIGO"
 
Ulelewa na baba au unakwenda kijijini kwao kuona ndugu zenu?
Baba Alitulea kiasi chake kwa sababu alifariki tukiwa wadogo hatukumfaidi sana....Mpaka kesho huwa nakwenda moshi kusalimia ndugu kule
 
Mada ya kipumbavu kama hii watu nao wamekaa wameacha kufanya mambo yao wanakoment
 
Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar miaka ya mwishoni mwa 80/late 80's....
Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI MWANAUME WA WAPI??
Wewe ni mtanzania ,period.

Achana na mambo mengine ya kipumbavu pumbavu.
 
Back
Top Bottom