Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
"MDIGO MZIGO"Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar miaka ya mwishoni mwa 80/late 80's....
Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI MWANAUME WA WAPI??
Sasa mimi ni Mwana Dar es Salaam au Mwanaume wa Dar es Salaam....Tanzania ni wapi?Ukizaliwa Tanzania wewe ni Mwanaume wa Tanzania.
Sasa wewe umezaliwa Dar, automatically wewe ni mwanaume wa Huko
Mchaga wa Dar, au sio!? ha,ha,haaaa!!.Mtoto hufata kwa baba wewe ni mchaga ndugu
Yes mimi ni Mchaga....Ila siyo mwanaume wa Dar ...right?Mtoto hufata kwa baba wewe ni mchaga ndugu
Mchaga wa Dar...na siyo Mwanaume wa Dar?Mchaga wa Dar, au sio!? ha,ha,haaaa!!.
Baba Alitulea kiasi chake kwa sababu alifariki tukiwa wadogo hatukumfaidi sana....Mpaka kesho huwa nakwenda moshi kusalimia ndugu kuleUlelewa na baba au unakwenda kijijini kwao kuona ndugu zenu?
hahahaha ndioYes mimi ni Mchaga....Ila siyo mwanaume wa Dar ...right?
Wewe ni mtanzania ,period.Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar miaka ya mwishoni mwa 80/late 80's....
Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI MWANAUME WA WAPI??
hahahaa, umetisha mkuu.Mchaga wa Dar...na siyo Mwanaume wa Dar?