Wamependeza wacgunga kondoo wa Bwana, sijui hiyo honeymoon ni wapi hapo
Makofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]Wamependeza sana wanawake modal nawapenda sana kama uyo kavaa kapendeza
Yeah...huna habari mkuu?Hiyo BMW X6 ni ya Masanja?
Mkuu unachembe'chembe za uwestern!! maana bongo mko wachache wanaume wengi yao chura. Makofi kwa models [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wamependeza sana wanawake modal nawapenda sana kama uyo kavaa kapendeza
Angalia plate numberHiyo BMW X6 ni ya Masanja?
Kwakweli nawazimia sana ni udhaifu wangu na nimelikubali hiloMkuu unachembe'chembe za uwestern!! maana bongo mko wachache wanaume wengi yao chura. Makofi kwa models [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyoneKwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Makofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu unachembe'chembe za uwestern!! maana bongo mko wachache wanaume wengi yao chura. Makofi kwa models [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone
i do....The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!