Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi haiwezekani kuwa na neno moja tu likaweza kuwakilisha hii maana ya baba/mama mdogo, bila ya kurudia neno baba au mama
Mkuu hizo nyekundu ni kiswahili kweli??Ndugu wa kike wa baba anaitwa shangazi
Ndugu wa kiume wa baba anaitwa Ami
Ndugu wa kike wa mama anaitwa Khalti
Ndugu wa kiume wa mama anaitwa Mjomba