Baba mkwe

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
1,012
Reaction score
741
jamaa baada ya kukopy namba ya baba mwenye nyumba kakopy namba ya baba mkwe katuma laki mbili na baba mkwe kashajibu asante mkwe wangu.... Baba mwenye nyumba bado anadai pesa yake na jamaa hana kitu vipi ungekuwa wewe ungedai pesa irudi kwa baba mkwe ili ulipe kodi kwa mwenye nyumba?
 
Jamani mwenye ile nyimbo mpya ya MAN FONGO FEAT Chris brown. ANITUMIE NI BONGE YA HITS SONG
 
Hakuna biashara ngumu kipindi hiki kama kuuza wallet labda uwekee hirizi ulizopewa na mganga[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7] naomba msaada pliz ..Naomba umwambie kuna mtu anakupenda yupo jf ..lakini usimwambie naitwa dume suruali na pia usimwonyeshe avatar yangu ...naomba unisaidie mkuu kwani ni mwaka na nusu sasa sijapata mchumba mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…