Baba Morgan nishakuwa mtu mzima sasa nahitaji mwenza

Baba Morgan nishakuwa mtu mzima sasa nahitaji mwenza

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo.
-Umri 28
-Mrefu
-Mweusi wastani
-Mpole kimuonekano na tabia
-Mfanyakazi
Leo nakuja kwenu wana JF kuonyesha nia yangu ya kutafuta mchumba ambaye baadae anaweza kuwa mke nahitaji mwenye sifa zifuatazo.
-Umri (20-25)
-Rangi yoyote
-Urefu wastani
-Mpole
-Elimu Form four.

Hii ni serious mwanamke aliyetayari apige hodi PM kwangu nami nitamfungulie na kumupokea kwa mikono miwili.
 
Back
Top Bottom