Baba Mtakatifu

Jacket la kwenda nje ya space? Hawajawahi kukutana na zumaridi huko kweli?
 
eti baba mtakatifu. hakuna kitu kama hicho, wenge zenu tu
Yesu aliagiza mtu asiitwe baba duniani, nyie mmeongeza mtakatifu kabisa. aisee

Mathayo 23:9-12​

Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa
 
Ninani hasa huyu ktk maishaa hayaa tuanayoyaishii Kila ckuu????
 
Mitandao ya kijamii haitaki hasira bro

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Pembeni ya Mnyama.....

Ameelezwa vizuri sana kwenye ufunuo 17.

Asomaye na afahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…