Baba Mungu wa Israel iwezeshe Leicester City Leo Usiku itoke sare ama iifunge Mancity

Baba Mungu wa Israel iwezeshe Leicester City Leo Usiku itoke sare ama iifunge Mancity

Mungu huyohuyo unayemwomba ndiye anayewasikiliza watu wa ethad. Na bahati nzuri sasa, city anashinda mchana kweupe
hame ya leo ni ngumu sana, na ndo gemu itakayompa City ubingwa ama kumnyima ubingwa, bila shaka kwa mtu km J'Madison na Vardy kwa upande wa Leceister hawatakubali kuutoa ubingwa kizembe, na mtu mfupi R'Sterling na Aguero nao hawako tayr kufanya uzembe. Ila kwa mtazamo wangu gemu naiona ni draw.
 
Game ya leo inaitwa "Game of "Death" afe mtu ama mtu apone . Ila kwa mpira wa Leicester kuna mtu anaitwa J Madison na Vardy nadhn watasumbua sana leo, na kule Etihad kuna mtu mfupi Sterling na Aguero nadhn watakua tyr kwa lolote. Mtazamo wangu gemu hii ni DRAW
 
Hawa jamaa wapo kazini wanajitambua wametolewa UEFA huku hata ashushwe nani na wacheze wapi kombe lao ninyi mlizidi point saba mkaja kuzidiwa mkaanza kuomba Man u awasaidie kushinda wakati ninyi Liver mshawahi toa pass iliyowakosesha ubingwa Man leo mnawategemea hawa nao watapigwa tuu mtakuja kusema mechi ya mwisho tena...
 
Back
Top Bottom