Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Ni hivi, Baba mwenye nyumba wetu katupa ya miezi minne na katika hiyo miezi minne mimi nishalipa miezi miwili kabla ya kutupa notes sasa miezi miwili yangu imeisha imebaki miezi miwili bado hiyo miezi miwili ya notes anataka nimlipe kisa bado naendelea kukaa kwake mi najua miezi miwili iliyobaki ni ya kujipanga kutafuta chumba kingine.
Je ipoje kisheria hali hii ikitokea.
Msaada jamani
Je ipoje kisheria hali hii ikitokea.
Msaada jamani