Ni hivi, Baba mwenye nyumba wetu katupa ya miezi minne na katika hiyo miezi minne mimi nishalipa miezi miwili kabla ya kutupa notes sasa miezi miwili yangu imeisha imebaki miezi miwili bado hiyo miezi miwili ya notes anataka nimlipe kisa bado naendelea kukaa kwake mi najua miezi miwili iliyobaki ni ya kujipanga kutafuta chumba kingine.
Je ipoje kisheria hali hii ikitokea.
Msaada jamani
Mkuu Capt Nemo unaweza kutufafanulia vizuri hiki kifungu cha sheria?km sheria namba ,mwaka ,nk nkTofauti na wapangaji wengi tunavyojua/fikiria ni kuwa hakuna wakati wowote ambao unapaswa au una haki ya kukaa bila kulipa kodi katika nyumba ya kupanga: hali halisi ni kuwa mwenye nyumba anatakiwa akupe taarifa ikiwezekana miezi mitatu kabla ya mkataba hai haujafikia kikomo..anaposhindwa kufanya hivyo mpaka mkataba ukaisha basi mwishoni mwa mkataba hai/husika analazimika kukupa muda wa kutafuta makazi mengine na kwa mujibu wa sheria ni kuwa katika kipindi chote cha notice utatakiwa ulipe kodi husika. Ikiwa amekupa muda wa notice miezi miwili basi kama mkataba wako ni sh. 80,000/= kwa mwezi basi utatakiwa kumlipa mwenye nyumba shilingi 160,000/=
Mkuu Capt Nemo unaweza kutufafanulia vizuri hiki kifungu cha sheria?km sheria namba ,mwaka ,nk nk
Ntashukuru mkuu.Natanguliza shukrani.mkuu nipe muda kidogo nitakupostia hiyo kitu
Ntashukuru mkuu.Natanguliza shukrani.