Unaweza kuangalia video yote lakini kama shauku yako ni kufahamu Queen Darleen kaongea nini kuhusu baba yao, basi unaweza kwenda moja kwa moja Dakika 17:10 !! Mistari ninayoikumbuka, kama ni kweli ni ile ambayo Mzee Abdul anamwambia mwanae Queen Darleen "Hoya, ushanaanza unataka kuharibu hapa-- huyu ana hela!"
Hapo Mzee Abdul akimzungumzia "mwanae" mwingine kutoka UK!
Hapo Mzee Abdul akimzungumzia "mwanae" mwingine kutoka UK!