Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Haya-haya-haya wanawane naimani hamujambo woteee wana wa ''Great Thinkers''....
Ninawakubali saaana wanawanee na ndo maana nimejimuvuzisha kutoka kwenye Fesibuki 1kwa1 nimehamia huku kwa wenye upeo mwingii.
Najiita mpangaji mpya kwa sababu nimehama kutoka sehemu ile na kuja sehemu hii.
Tafadhali:Nipokeeni mimi na mwanangu Ndubwi,tulikotoka wenye nyumba na wapangaji wenzetu sio ma-great thinker...
Mimi na Lindubwi tunamapost mengii na hatuelewi tuanze na lipi hapa,(Au kolabo/fyucharingi haziruhusiwa wana jamvi??!)
Haya,tuanze na post ipiiii waungwana!!?!?.........