Baba Rostam!

duh!oa mkee mwingine
 
rostam atamtafuta soon utakuwa bilionea
subiri wakishagawana hizo hela za dowans
mwano atakumbukwa.huwezi jua ngekewa ya wife
kama zali la mentali vile, mama kaona mbali
 
 
Aisee! Jina jina 2 kwan akiwa fisadi mtoto c utafaidi... Na amin atakuja tegemewa na chama
 
Naamin Rostam Chumachakavu hata kuwa mtu mwenye kuyumbishwa, tena asiye penda haki, mtoto mwenye tamaa, mwenye kujilimbikizia mali
 
Nilikuwa najiuliza kumbe mkubwa ni MMAKONDE WA NEWALA jina hili halina tabu liko chart 2!
 
Jina ni kiainisho au ni kibainishi tu! kinachopambanua kitajwa.

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya jina na kitjwa. Hivyo basi hata umwite jina la wanyama, miti, wadudu sio tatizo.
Tatizo ni sisi binadamu tunaohisi kuwa jina fulani ni zuri na jina fulani baya.
 
Piga chini hilo jina m2 wangu utakuja kumpa shida dogo kwa wenzake kwani wanaweza kuanza kumtania na kumkosesha raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…