Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,044
<br />ni mbongo yule ila kakaa sana jamaica ndo maana anakuwa vile..
<br />Ni Mjamaica alitelowea Bongo. Anaishi Madale kwenya makazi ya ma rasta. Ni jah people wa ukweli na mkewe na wana watoto 2 ambao nao ni jah kids. Alianzia RTD kwenye External Service miaka ile ya 90 akiwa na rasta mwingine mwanamke jina limenitoka ila alikuwa na kabinti kakiitwa Precious.
Wakuu!
Huyu jamaa alikuwa akiendesha kipindi cha Reggae pale East Africa Radio na baadae EATV pia. Naomba kujua ni Mtanzania au ni raia wa nchi gani? Na bado anaendelea na kazi yake? Binafsi navutiwa na umahiri wake ktk uga wa muziki wa Reggae hasa Roots Raggae.