Baba: Mwanangu, baba yako ni tajiri wa fedha, akili na busara. Kila utakacho kwangu nitakupa
Mwana: Nitafurahi kama utajenga daraja kutoka Dar hadi visiwa vya Madaska
Baba: Itakuwa ngumu maana nguzo za daraja katikati ya bahari ya India zitatokeza upande wa pili wa dunia na kusababisha daraja lizame, kwasababu upande wa pili kuna bahari ya Antlantic
Mwana: Sawa, basi nitafurahi kama utanipa uwezo wa kujuwa kiundani jinsi akili ya mwanamke inavyofanya kazi
Baba: Hivi ulisema ungependa daraja liwe na lane ngapi vile?