Baba vanga: mwanamke aliyetabiri, Trump, ISIS, Obama yuko on point

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Mara kadhaa umesikia watu wakijiita watabiri na kutabiri mambo mbalimbali ambayo hayakutokea kama walivyobashiri. Now naomba nikupe stori ya mwanamama kipofu ambaye alifariki miaka zaidi ya 20 iliyopita, na ambaye alitabiri vitu vikubwa kama Urais wa Obama, kutokea kwa vita ya ISIS, Tsunami ya mwaka 2004 na mengine kama vile tukio la ugaidi lijulikanalo kama September 11.

Watu waliokuwa wakimuamini na kumfuata walimwita Nostradamus of the Balkans, lakini jina lake halisi ni Baba Vanga.
Mwanamama huyu anaweza kuwa mmoja kati ya watu ambao wameishi na kuwa na uwezo wa kuona mambo ambayo yatatokea na yalikuja kutokea kweli na pengine yatakayotokea.

Yafatayo ni baadhi tu ya mambo ambayo pengine unaweza kuyafahamu ambayo Baba Vanga aliyatabiri na yakatokea.

1.VITA VYA SYRIA NA WAISLAMU HUKO ULAYA.
0c0d1305f7e8f9a6c1d611d63b6a5572.jpg

Baba Vanga alitabiri kuvamia kwa waislamu katika bara la Ulaya, na akasema kwamba vita ya waislamu wenye imani kali, itakwenda kwa miaka mingi na itakuwa ni vita kubwa barani Ulaya kiasi cha kuliharibu kabisa bara hilo. Lakini pia alitabiri kwamba kutatokea vita ya waislamu wenye siasa kali nchini Syria. Hivi sasa ISIS wamesababisha rabsha kubwa Syria.

2.KUTOKEA KWA TSUMANI NA GLOBAL WARMING.
467dd6837de73689c4f13822630f0105.jpg

Utabiri huu ulifanyika mwaka 1960, na mama huyo alisema “Maeneo ya baridi yatabadilika na kuwa joto, kutatokea volcano na wimbi kubwa la maji litafunika miji na watu watapoteza maisha kwa wingi, Kila kitu kitapotea chini ya maji na kila kitu kitayeyuka kama barafu”
Huu ni utabiri uliofanyika zamani sana, na ukiacha mbali Tsunami ya mwaka 2004, Sayansi pia inaonesha kwamba utakuja wakati ambapo maji yatavamia miji kutokana na Global warming.

3.KUZAMA KWA MANOWARI YA URUSI
Mwaka 1980 Baba Vanga alitabiri kwa kusema
“Mnamo mwaka 1999 au 2000 meli ya Urusi itafunikwa na maji na dunia nzima itakuwa juu yake”
Kweli watu wote waliokuwa kwenye manowari hiyo walikufa ingawa kulikuwa na juhudi za vikosi vya kimataifa vikijaribu kuokoa maisha ya watu hao.

4.BARACK OBAMA KUWA RAIS
3710f608eaa48b36bcb65de7086f58e0.jpg

Baba Vanga pia mnamo miaka ya 1960, alitabiri kwamba rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, na pia atakuwa ndio rais wa mwisho wa Marekani. Japokuwa utabiri huu wa kuwa atakuwa rais wa mwisho bado haujatimia, na Trump ndio incharge manyota, pengine labda kuna maana nyingine tofauti nyuma ya maneno haya.

5.ULAYA ITAACHA KUWEPO
Baba Vanga pia alitabiri kwamba, ifikapo mwaka 2016 Ulaya itakoma kuendelea kuwepo, na hakutakuwa na maisha. Itakuwa ni kama sehemu yenye watu wasio na maisha. Ingawa mpaka hivi sasa utabiri huu bado haujatokea kama ulivyotajwa, lakini mwaka huo wa 2016 tulianza kuona mgawanyiko wa nchi za Ulaya, huku nyingine zikitoka katika Umoja wa Ulaya. Je hizo ni dalili za utabiri?

6.CHINA KUWA TAIFA LENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI
Zamani sana, mwanamama huyu alitabiri kwamba ifikapo mwaka 2018 China itakuwa the world superpower yaani taifa lenye nguvu na kiuchumi duniani kote.
Alisema wakati huu utafikisha mwisho wa mataifa nyonyaji duniani kama Marekani,Urusi,Ufaransa na Uingereza na kwamba wanyonyaji watageuka kuwa nchi zinazoendelea.

MWISHO KABISA.
Utabiri wa China kuwa superpower ulianza kuonekana baada ya IMF mwaka 2011, kutabiri kwamba ifikapo mwaka 2016 uchumi wa China utaupita ule wa Marekani, ambao ndio uchumi mkubwa zaidi duniani.

SWALI:
Je mwaka 2018 China kweli itakuwa world superpower? tusubiri.

Pamoja na tabiri nyingine nyingi ambazo zimewahi kutimia hizi zinazofuata ni zile ambazo bado wakati wake haujafikia na ni za kuangalia kwa jicho kali.

7:MWISHO WA NJAA DUNIANI.
Mwaka 2025 na 2028 njaa itakuwa imekomeshwa kabisa ulimwenguni na itakuwa ni historia forever.
“Nadhani hii ni baada ya Tanzania na Kenya kujua jinsi ya kutumia vizuri ardhi kuzalisha chakula cha kutosha pia… right” LOL

8.SAFARI ZA KWENDA KWENYE SAYARI ZINGINE.
Baba Vanga akatabiri kwamba binadamu watasafiri mpaka sayari ya Venus na Mars kutafuta energy. Na kusema pengine wanaweza kuweka makazi huko.

9.ROMA KUWA MJI MKUU WA WAISLAMU:
Wakati huo pia Baba Vanga akatabiri kwamba ikifika mwaka 2043, waislamu watakuwa wamemaliza kuivamia Ulaya na mji wao mkuu utakuwa Roma nchini Italia.

10.KUUNDWA KWA VIUNGO VYA MWILI: Ifikapo mwaka 2046 binadamu atakuwa amesha-masta uundwaji wa viungo bandia vya mwili. Na hii itakuwa ndio tiba

11.MAREKANI KUIVAMIA ULAYA:
Ifikapo mwaka 2066, Marekani itavamia Ulaya na kujaribu kuwafukuza waislamu ambao watakuwa wameitawala, ili kurudisha ukristo.

12.MAISHA CHINI YA MAJI:
Mwaka 2130, mwanadamu atakuwa ameshajua jinsi ya kuishi chini ya maji, na hii itakuwa kwa msaada wa Aliens.

13.KURUDI KWA UJIMA:
Ikifika mwaka 2070, communism itarudi Ulaya na dunia nzima.

MWISHO WA DUNIA:
Mwaka 3797, huu ni mwaka ambao
Baba Vanga alitabiri kwamba dunia itafikia ukomo wake. Lakini akasema kwamba wakati huo binadamu atakuwa ameshajiendeleza kiasi cha kuhamia sayari nyingine na kuishi huko.
Dalili za kuisha kwa dunia zinaonekana wazi kutokana na vielelezo vingi vya kisayansi…

Ntakuwekea makala hiyo tofauti siku nyingine. Lakini pia dalili za binadamu kuhamia katika sayari nyingine zinaonekana wazi kwa wanasayansi kama Mtoto wa Africa kusini ambaye kwa sasa pia ni raia wa Marekani
Elon Musk, Ambaye kupitia kampuni yake ya Space X, anajaribu kuifikia Mars na ndoto yake ni kuifanya sayari hiyo kuwa kama dunia na wanadamu tuweze kwenda kuishi huko.

All the best

ifakara BABY
 
Hakuna kitu pepo huyo
mnamtukuza binadamu alikopeshwa pumzi na Mungu
tunaangamia ilhali maarifa tunayo
 
Kwakuwa utabiri wake mwingine umefeli, basi ni wa kupuuzwa tu huyo Baba Vanga.
 
Kwanini asitokee mtabiri wa lini CCM itaondoka madarakani ili tusifanye siasa maana Hawa watu wanatuumiza bure, Bora tuwaachie watawale ikifka wakati akili zetu zikikataa utumwa tufanye mapinduzi
 
Apatikane atakae tabir M7 na KAGAME wataondoka lini madarakani.
 
Wasalimie rumemo
 
Utabiri mwingi hautatokea mengi ni ndoto zake tu,
 
Back
Top Bottom