Baba wa Diamond atoa baraka kwa mjukuu wake mpya

Mkuu maisha ni kuamua hata wewe hujui mission ni nini hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana mi nataka nikaoe Pemba, wale wanawake wanajifunika kichwa mpaka hujui mbele wapi nyuma wapi. MASHILAWADU wataisoma namba
 
Ukiona hivyo ujue ashavuta vijisenti, huyu mzee analipwa kusema kitu chochote tu.
 
Hamisa anajua kabsa Mond yuko na Zari na ana watto wawili
Na yeye amekubali na kaamua kuzaa lazima wamekubaliana na Mond atawatuza wote wanae Muacheni Mtto wa wa2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Diamond ni wapi kasema huyo mtoto ni wake!??
 
Umesoma article nzima lkn au umekurupuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda angelitulizana angepata wakumstiri, hata majizo angeweza kujirudi wakalea mtoto ila kwa sasa asipoolewa na mond atabaki kudanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Zari na hamisa wana utofauti gani coz mwingne ana mitoto mitatu mikubwa na akaacha mme wake na kuja kuzalishwa na kivulana kidogo kabisa afadhari misa ana mtt moja tu nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zari na hamisa wana utofauti gani coz mwingne ana mitoto mitatu mikubwa na akaacha mme wake na kuja kuzalishwa na kivulana kidogo kabisa afadhari misa ana mtt moja tu nje

Sent using Jamii Forums mobile app
Hufahamu totauti zao??
Zari aliolewa akaachana na mumewe akiwa na watoto watatu na kukutana na hiko unachokiita kivulana na wamezaa watoto wawili.
Hamisa hajawahi kuolewa, kazaa mtoto mmoja na boyfriend kaachwa kafunua tena rinda kazaa na kile unachokiita kivulana na kakataliwa yeye na mtoto.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…