Baba wa Diamond atoa baraka kwa mjukuu wake mpya

Aziwezi kua baraka wakati yy mzee katengwa,kakataliwa n diamond mwenyewe.
 
Mtu umezaa naye mpaka watoto watatu na ni wakubwa tu unaachana naye unaanza kukitembeza mpk ma sex tape anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu umezaa naye mpaka watoto watatu na ni wakubwa tu unaachana naye unaanza kukitembeza mpk ma sex tape anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ameshakua mtu mzima kimbembe kipo kwa huyu binti mdogo anayezaa hovyo.Shule alikimbia ajira hana anaishi kwa hisani ya majizo ipo siku atakuja kulia na kusaga meno.
Angelikuwa binti yako au mdogo wako usingemsifia kwa upuuzi wa namna hii



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond naye alipatikana nje ya ndoa usisahau
 
Hivi walishapatana. Maana nilisikia mond huwa amjali mshua wake coz alimsaliti wakati akiwa mdogo
 
Baba gani au mama hapendi mjukuu hasa anaelrtwa na mtoto...wako wa...kiume
Mtoto...wa...kike ndio kidogo wAzaZi wake huwa na...huzuni kama hajaolewa
 
Umesoma article nzima lkn au umekurupuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo nimeisoma na nimeelewa,huyo baba yake kusema kwamba aowe alitakiwa kusema tangia kijana wake alipomzalisha mganda mtoto mmoja sio sasa ana watoto watatu na wanawake wawili tofauti anajifanya kushauri.baba timam alieishika imani yake vizuri na akawafundisha wanae maadili mema hawezi kukubali ujinga huu.
 
Baadhi ya viongozi wa kiislamu kupotosha dhana ya wake wengi imefanya uislamu uonekane kama dini ya kihuni huni, ngono hovyo! Unakuta mtu ana mke anakuwa na mchepuko huko nje hadi wanazaa kisa dini inaruhusu. Uislamu hautaki uzinifu umuoe kwanza ndipo mfanye tendo.

Tizama talaka zinavyotolewa kiholela kama njugu taratibu za dini hazizingatiwi

Yarabi Tufanyie wepesi waja wako.
 

Huyo mwanaume hana familia ndugu ana girlfriend tu. Umeona mwanaume wa kiafrica anaoa mke anaishi nchi ya mbali, nyumba kanunua huko, miradi iko hukooo, mwanamke humtembelea mara moja moja tu ni kama mchepuko kauhonga ujue. Ahamishe majeshi bongo akae na mumewe.

Halafu alimdanganya dai anunue nyumba aliko bwanake wa zamani Mungu naye akafanya yake.
 
Wako wengi tu nimewashuhudia sio wote wanawaza makojoleo watu wanatafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…