Heeee ingekua bongo watoto wangemzira na matusi juu wenzetu hua hawaingilii uhuru wa mtu
Kwa hiyo nae muda si mrefu atakua na nigga linamdinya maana anatamani awe kama wanawe wanavyodinywa
Ndo mana ikawa bongo familia ya kina kardashian ni most hated stars wa Hollywood kwa kufanya mambo ya ajabu sema kwa wenzetu kila mtu anaheshimu maamuzi ya mwenzake.
Yaan ni shiidaa aiseèeee,huku unatengwaaa huko wenzetu wanampongeza na kumuita shujaa
Ndo mana huwa wanapokea criticism wako radhi kufanya lolote ili wazungumzwe kwenye media mfano Kim the whole family ni famous lakini hawana talent yoyote ndo kufanya vitu hivo.Mi mwenyewe ni ngumu kumesa mzazi wako a change jinsia awe mwanamke eti unamwita daddy your my hero kweli wanaudhubutu.
Yaan ni mi mpaka sina la kuongeaaaaa aiseeèee