Kwa wapenzi wa Figure skating bila shaka mtakuwa mnampata kijana Robin Szolkowy - Wikipedia, the free encyclopedia, baba yake inasemekana ni mtanzania ila hawajawahi kuonana. Wazee wa JF kama kuna aliyewahi kutembelea Ujerumani miaka ya 1978 na "kutoka" na nesi basi ajue kaacha mtoto ambaye kwa sasa anatisha katika mchezo wa Figure skating. Binafsi kama mtanzania huwa najisikia faraja sana kwa jinsi anavyoumudu mchezo huu bila kulewa sifa za kuwa bingwa wa dunia.
"Wazee" kazi kwenu kuvuta kumbukumbu.


"Wazee" kazi kwenu kuvuta kumbukumbu.
