Niko interested na hapo kwenye blue, do the needful..haya mambo wakati mwingine huwa yanaendana na imani za kishirikina kama ilivyotokea kwa Babu Seya... baada ya kusoma article moja nikaja nikagundua yule Babu Seya kile kitendo alikifanya kabisa anayetaka prove naweza kumpa
Niko interested na hapo kwenye blue, do the needful..
endelea kusali dia ila wakati unasalimu na mimi jidume niko nje nikiendelea kuvichanachana vichwa vyaodunia imefika kileleni! tusali kwa bidii!
huyu atakuwa mkristowadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo bwana alikuwa akikilaghai hicho kitoto kwa kukipa zawadi ndogondogo. Wadau hayo sasa ni mapenzi au ujinga. Binadamu wa namna hii nafikiri uwezo wake wa kufikiri uko chini ya ule wa kuku hapa nina maanisha iq yake.
Wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha Patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo bwana alikuwa akikilaghai hicho kitoto kwa kukipa zawadi ndogondogo. Wadau hayo sasa ni mapenzi au ujinga. Binadamu wa namna hii nafikiri uwezo wake wa kufikiri uko chini ya ule wa kuku hapa nina maanisha IQ yake.
ngoja niitafute hiyo article then nitakudondoshea lakini inabidi usome kwa utulivu na umakini mkubwa sana
Huyo IQ yake inaweza fanana na ya ccmizi,mwache akakutane na wabakaji wenzie huko segerea then atahadithia km mganga wake ndio alimtuma au alimuona yule mtoto umri wake ni sawa na mkewe.
ngoja niitafute hiyo article then nitakudondoshea lakini inabidi usome kwa utulivu na umakini mkubwa sana
huyu atakuwa mkristo