Ukitaka kusikia maumivu ulinganishe kama amekibaka kitoto chako ambacho unakipenda kuliko kitu kingine chochote...
Nadhani kama mimi huyo jamaa atakuwa tayari amezima mshumaa wa maisha yangu..kabla mimi sijazima mshumaa wa maisha yake..sisubiri serikali ya wala rushwa!
pamoja nakuwa ni imani za kishirikina na tamaaa ya hali ya juu ambayo wanaume imewaingia siku hizi pia naona maasi yanazidi na mwisho umekaribia mnakumbuka sodoma na ghomora? ndio imerudi
Wanaofanya hvyo watakuwa wachawi na waganga wao yaani hawaangalii hata masharti yakufuata inaonekana akili zao hazina akili na suluhsho ndugu wa muathirika wa tukio anatakiwa kuonyesha wana hasira kiasi gani ndio itakuwa fundisho.