baba wa watoto wangu ni bujibuji
teeeheee teehhhh
kama naona watoto wa bujibuji kule ukerewe wakipambana na Mamba lakini Mungu anawalinda kwa uweza wake!!
namuita akuskie!baba wa watoto wangu ni bujibuji
kuna dawa nimewapa inaitwa tilansifoma, wakiingia ziwani hawashambuliwi na mamba, kwani na wao hugeuka kuwa mamba wakubwa zaidi
nahisi kama wewe ni faisal hivi!!Mimi ndiye baba wa mababa,, napataa watoto kwa bluetooth, ultra waves na infrared
we kitanda hakizai halamu haswa wale walio ndani ya ndoa kila kinachokuja ni chako tu, unaotakiwa ni umakini tu katika kutafuta mke mwema ili yasije yakakukuta.
Mi sijiulizi hilo bali je............ KAMA KILA NGONO UNAYOFANYA UNGEKUWA UNABADIRISHANA C.H.U.P.I KAMA JEZI KWENYE KANDANDA NA UNAYENGONOKA NAYE UNGEKUWA NA C.H.U.P.I NGAPI ZA JINSIA TOFAUTI NA YAKO..??bujibuji najiuliza zile mbegu zetu tuliokuwa tunamwaaga kwenye plastic tungekuwa tunapa live madadzetu unahisi hata dna ingeitajika maana una uhakika kati ya 7 ,watoto 4 lazima wako
Kwenye nyekundu hapo, kwanza ni haram na si "halamu".
Ni kweli kabisa kitanda hakizai haram, kitanda pia hakizai halali. Sijaonapo kitanda kikizaa. Wanaozaa haram ni wazazi.
hili jambo huwa linawauma sana akina baba hapa utawaona kimyaaa kama hawapo vile maana hata wao hawajui kma watoto ni wao au siyopoleni sana wa kaka ndo tulivyo... wahuni sana sie akina mama lol ila msituudhi sasa maana unaweza lea wote watatu ila si wako ki ukweli