Kuna mambo mawili ya muhimu nionavyo mimi ya kuzingatia juu ya hiyo picha.
1. historia inasema kama nipo sahihi Mawlimu alikuwa waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania manmo 1961, na alikuwa anawajibika kwa Malikia wa Uingereza au alikuwa anaongoza the executive branch ya her majesty.
2. Margaret Thatcher alikuwa katika vita na socialism (angalia na sikiliza video clip- kutoka 2:25-3:11), na ndani ya Bunge la Uingereza wakati akijibu maswali kwa mara ya mwisho akiwa kama PM alijinasibu kuua socialism ndani ya Uingereza, je Tanzania ingehimili hiyo vita- majibu hapana na ushahidi upo wazi.
Hapo kwenye picha ni kama msogeze adui yako mfahamu then mmalize. Au fimbo ya mbali haiuwi nyoka.