Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Nduguze Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

Dadavua mkuu! Nini kimekupata? Au kupiga picha na mwalimu ndo kupigania uhuru?
 
Kwamba the Muslims had a great contribution than Christian huo ni uwongo.
Sidhani kama upo sahihi kwenye mawazo yako na hakukua na haja ya kuingiza uislamu hapo.... Kumbuka uhuru nyerere alikua pwani alifanya mambo mengi na watu wa pwani ambapo dini yao ni uislamu ila hawakutanguliza itikadi zao za dini kwenye kupigania uhuru ndio maana wamechangamana wakristo waislamu hawakubaguana hiki kizazi cha much know kinakurupuka kuona picha ya kanzu basi wanawaza udini zaidi..... Unakariri vibaya sio kila muda FaizaFoxy anakua na mambo ya udini hii picha inaeleza mambo memgi sana huenda yeye aliangalia walivyokua na umoja akaona aandike vile.....
 
Mkiambiwa Wazanaki ni Watu waliobarikiwa na Mwenyezi Mungu na wana Nguvu Maalum ya Kiutawala na Kimamlaka msiwe mnabisha sawa,?
 
Hapo alikuwa pwani, yupo na wazee wa kipwani, alipokuja huku umasaini alizungukwa na wazee waliovaa rubega, na hata hutosikia mmasai akidai attention
 
Hapo alikuwa pwani, yupo na wazee wa kipwani, alipokuja huku umasaini alizungukwa na wazee waliovaa rubega, na hata hutosikia mmasai akidai attention
Capt.
Usichukulie vibaya.

Nakusanya picha mfano wa hizo tafadhali nipatie picha ya Mwalimu akiwa Umasaini kwenye matawi ya TANU.
 
Picha tu ukiangalia hapo inaonesha j.k
Kawazidi wote upeooo [emoji41]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…