Baba wa Taifa mwalimu Nyerere akitoa hotuba 1964

Enzi hizo alikuwa anapendeza mana Suti yake kabla hajaenda China na kukutana Na Mi Komunist iliyombadilisha kuanzia kifikra mpaka kimavazi
 
Huo mpango ulikuwa na mambo gani muhimu?
Elimu kwa wote ndiyo ilizaa Elimu ya Watu wazima na walimu wa UPE

Afya kwa wote unakumbuka afya ilikuwa bure bila hata BIMA
 
Enzi hizo alikuwa anapendeza mana Suti yake kabla hajaenda China na kukutana Na Mi Komunist iliyombadilisha kuanzia kifikra mpaka kimavazi

Kwani hata hayo mavazi si kaiga kutoka katika nchi za maghatibi!;, sasa unashangaa kitu gani alipokwenda kuiga mavazi ya wachina (the collar less suit/ Chuen Lai). ilitakiwa avae mgolole au lubega la kimasai 🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…