Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,120
Leo nikiwa nipo busy kushughulikia afya ya mama watoto kwenye hospital ya TMJ ndipo nikamwona baba yake na Wema akishushwa kwenye wheelchair! Kushuka huko nikagundua tayari kuta tatizo kwenye afya ya mzee Sepetu! Nilifanikiwa kupata taarifa za awali kuwa mzee amepatwa na stroke. Wapo waliosema kinachomsibu kingine ni figo! Kama kawaida nikamwona kimwana 'X' wa Diamond (Wema) akiwa anapambana kuhakikisha afya ya baba ina imarika. Kwapamoja tunampa pole Wema pamoja na mgonjwa. Apone haraka na arudi kwenye majukumu yake ya kila leo!