simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
hahahahaha. pasua kichwa?huyu mzee ni pasua kichwa........
Jana kupitia luninga ya TBC alisema amebariki mazishi yafanyike Dar baada ya kukubaliana na mama yake Kanumba alisema anasubiri usafiri kuja dar kama hakutumiwa usafiri na yeye labda hana kitu sasa mnategemea nini? Ila baba ni baba siku zotee.