Baba yake dully akutwa akisokota bange..

Baba yake dully akutwa akisokota bange..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Sykes 1.jpg
ABY SYKES

Sykes 3.jpg
ABBY SYKES

Sykes 4.jpg
DULLY SYKES

[h=4][/h][h=4]Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuitumia.[/h][h=4]Tukio hilo la aina yake lilitokea maeneo ya Mikono nyumbani kwa msanii aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na papalazi wetu ambae alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.[/h][h=4]Mzee huyo akiwa hana shaka yoyote aliendelea kuchambua bangi hiyo huku mbegu zake zikidondoka chini kama mshere unavyoonesha hapo pichani.[/h][h=4]Hata hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande hali ilimfanya kukosa amani muda wote wakati hadi mwandishi wetu alioondoka na yeye alipata wasahaa wa kuendelea kuiandaa bangi hiyo.[/h]
 
Dully Sykes dady singing for youuuuuuuuuu!!!
 
Mzee anapunguza stress na mawazo ya enzi za mjerumani na muingereza,vijana wa leo tunavuta ili kutongozea mademu kwa confidence au kupanda jukwaani(wasanii wetu) au kujifanya wagumu(hardcore), hawa wazee wametutoa mbali waacheni wamalize miaka yao vizuri.
 
Mkuu! Ungeleta picha ya afande anakula Rushwa na kushushia kwa Hongo 8ariiiiidi, ningekuona umefanya jambo la maana.
 
Wewe uliyepost huu uzi nawe umelewa ngada kwani msuba kitu gani? Ndio maana kuna m,bunge alisema iruhusiwe kulimwa ili iuzwe nje maana itatuingizia mijihela ya kigeni we hujajua kama muheshimiwa nae ali rol zig kadhaa kabla hajaingia mjengoni?
 
View attachment 94639
ABY SYKES

View attachment 94640
ABBY SYKES

View attachment 94641
DULLY SYKES

[h=4][/h][h=4]Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuitumia.[/h][h=4]Tukio hilo la aina yake lilitokea maeneo ya Mikono nyumbani kwa msanii aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na papalazi wetu ambae alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.[/h][h=4]Mzee huyo akiwa hana shaka yoyote aliendelea kuchambua bangi hiyo huku mbegu zake zikidondoka chini kama mshere unavyoonesha hapo pichani.[/h][h=4]Hata hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande hali ilimfanya kukosa amani muda wote wakati hadi mwandishi wetu alioondoka na yeye alipata wasahaa wa kuendelea kuiandaa bangi hiyo.[/h]

KWANI NANI HAJIUI KWAMBA mZEE SYKES NA HATA BABU ZENE WENGI WANVUTA BANGI CHA AJABU NINI HAPA,? LETENI HABARI SIYO ----- WENU BANGI NI NINI?
 
Wavutaji utatutambua hapa kwa michango yetu ndo utajua tuko wengi tunaokula majani...
 
Mdingi ana story balaa.yaani mkikutana kwenye kilaji mbavu zitachomoka
 
Back
Top Bottom