Hapo Kazi ipo, inaonekana huwa anakesha huyo mzee.
just think upo maternity ward na mama yako unaudhi ile ni aje!!!!Lakini si anaweza kuwatunza au hata mahitaji muhimu anashindwa kuwapa wanae?
kule nimepewa bango nikakimbia.Hatimae Martyna afunguka kuhusu uhalisia wa maisha ya babaake, amwanika hazarani mchana kweupeeee! .
Ooops! Dah! sorry martyna nilijisahau nikazani niko ile sredi ya gazeti la udaku la JF
Lakini si anaweza kuwatunza au hata mahitaji muhimu anashindwa kuwapa wanae?
mzee anamzeesha mama yetu
SASA UNAKARIBIA KUFUNGUKAAtawatunza na kuwasomesha for how long? Na unajua bodi ya mikopo ndo inamalizikia kukata kauli! Si kutwishana majukumu hapo?
Aisee, ongeeni na babu yenu!
aibu mtaani halafu huko baadae itakuwaje kama si kutafutiana lawama?lakini si anauwezo wa kutunza..!??
given that baba yetu ni cha-pombe kwa nini tusiombee msaada wa madaktari kuikata mirija yake ya mbegu za kiume (epidedyis)?Kweli hii tabia sio nzuri, ndo baadae unakuta mtu umepata kazi na wadogo zake kama wa5 wanamtegemea yeye!!! Mi nafikiri pombe nayo inachangia sana...Cha kufanya mtafute rafiki ya baba yako then umuelezi yote hayo then yeye ndo ataenda kumwambia. Mi nadhani kumwambia wewe mwenyewe sio vizuri...anaweza kusema umemdharau.Pole sana ndugu
Ntamsababishia talaka uzeeni nilaanikeMama ana uwezo mkubwa kama akiweka dhamira ya kukataa kushika tena mimba nyingine siku zote mpokeaji anaweza kuamua kupokea zawadi ama kuikataa ongea na mama yako.