Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Amini usiamini baba levo ni bora kuliko tale,unasikiaga hoja za tale bungeni ? bora baba levo ni mwehu ila anafanya ujinga chini ya mwamvuli wa comedyKwani huyo baba levo sio mpumbavu kweli?
Kachukia kwa vile anajua huyu Tale mwenyewe ni m pumba vu zaidi!Kwani huyo baba levo sio mpumbavu kweli?
Kutokufua nguo za ndani ni hatari kwenye afya hasa husababisha mazalio ya bakteria na kadhalikaHuyu mbunge ndio yule aliyesema boxer zake huwa hafui
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uchawa ni kazi isiyotoa jasho we ni mdomo tu kama dalali na unakula hela nzuriSema uchawa NI kazi ngumu nyiee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Kuna wakati watu wanakukataa Kama hivyo alafu unalazimisha na nyumbani una mke na watoto.
Hapana Bora nikabebe zege kuliko uchawa
Huwa naliona kama lishamba flani hivi.Baba Levo ni mpumbavu
Huwa naliona kama lishamba flani hivi.
🤔Ila ubunge wa Ccm,
Ni aibu na hasara tupu,
Babu tale anawakilsha mazuzu menzake bungeni
🤔Ila ubunge wa Ccm,
Ni aibu na hasara tupu,
Babu tale anawakilsha mazuzu menzake bungeni