HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Watu wanaomdharau Baba levo ni watu wajinga .Kazi kubwa ya diwani/mbunge ni kuwasemea wananchi wao matatizo yanayosibu ili kupata ufumbuzi kwa maendeleo ya watu wake hayo mengine i.e:kutunga sheria,kupangua hoja,kujadili miswada ni ziada tu na ujanjaujanja ili kuwaibia watu kwani hata madiwani wanatunga sheria ndogondogo bwana?
Hili litiliwe mkazo kwa sasa diwani/mbunge asiyewasemea watu wake piga chini awamu ijayo bila kujali usomi/elimu yake wakale elimu zao sasa!!
Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu?Watu wanaomdharau Baba levo ni watu wajinga .
Kazi ya Mbunge kwa mujibu wa katiba ni.
-Kuwasemea wananchi kero zao
Ukisema wasomi wawe wamesoma , swali linakuja je hao wasomi wamefanya nini katika majimbo yao
We kumbatia ujinga wako uufaidiAdui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu?
TutakukumbushaKm Baba levo ataingia bungeni after October, wallah na mie ntaingia 2030 Mjengoni.
Mjinga ni wewe mwenyekudhani na kuwa na fikira za kipumbavu kuwa MSOMI ndiye anaakili kuliko mtu ambaye hajasoma ingekuwa hivyo kwanini wasomi au watumishi wengi wa serikali wanaongoza kwa mikopo ya kausha damu?We kumbatia ujinga wako uufaidi
Sawaaa!!Tutakukumbusha