Babari kwa Picha:huku ndiko alikotoka Mkapa---Je alipo kwa sasa?

Babari kwa Picha:huku ndiko alikotoka Mkapa---Je alipo kwa sasa?

Gembe

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Posts
2,483
Reaction score
164
pp12b.jpg
images


Hapo kabla ya IPTL kuuzwa kwa NBC
 
mpeni mkapa muda,nyinyi nyote mnajuwa nyerere alimpa mkapa maeneo kwa sababu alitaka achote mapesa kama zawadi yake ya kumuandika vizuri katika miaka ya sitini na sabini wakati munaemuita baba wa taifa alipokuwa anaitiya nchi kwenye shimo, nyerere kasomesha watoto wake marekani, watoto wa watu aliwapeleka urusi, waliporudi watoto wa marekani wakapewa vyeo wa urusi wakaonekana hawajui kitu, wakati baba enu mgomvi wake marekani ni beberu, na mrusi ni mjamaa, kwa hiyo tuache kupiga ngonjera tuendeleze mambo aliyofanya baba wa taifa kwa kutuwekea mr clean
 
Back
Top Bottom