BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Na Bwanku M Bwanku
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani.
Mkutano huo ni wa kufunga baada ya ziara yake ya siku 6 mkoani humo akiambatana na Wajumbe wengine wa Sekretarieti ya CCM Taifa ambao ni Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Gavu.
Mkutano huo utaanza saa 9 mchana na utaruka mubashara kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Usikose kufuatilia.