BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Usiogope!Lakini hawa si walikuwa wanafanya mikutano siku zote?
bahati nzuri Chadema imesajiliwa kwenye mioyo ya watu, CCM imesajiliwa kwenye makaratasi ili upate mkate wako. Chadema hakuna kugawa vyweo hivyo tuko chadema kwa vile tunaipenda. Note the difference pleaseUsiogope!
Wanacheza ngoma ya CHADEMALakini hawa si walikuwa wanafanya mikutano siku zote?
Sasa mbona Tundu Lisu na Lema NAULI wanaomba CCM?bahati nzuri Chadema imesajiliwa kwenye mioyo ya watu, CCM imesajiliwa kwenye makaratasi ili upate mkate wako. Chadema hakuna kugawa vyweo hivyo tuko chadema kwa vile tunaipenda. Note the difference please
Hivi si tulikubaliana kwamba mikutano ya siasa inapunguza muda wa uzalishaji mali?Na Bwanku M Bwanku.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani. Mkutano huo ni wa kufunga baada ya ziara yake ya siku 6 mkoani humo akiambatana na Wajumbe wengine wa Sekretarieti ya CCM Taifa ambao ni Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Gavu.
Mkutano huo utaanza saa 9 mchana na utaruka mubashara kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Usikose kufuatilia
Exactly, wao walikuwa wanajiegesha kwenye kutekeleza ilani yao while in rewal snese they were making political public ralies! all in all, let us have katiba mpya and tume huru!Wanacheza ngoma ya CHADEMA
let us have katiba mpya and tume huru![emoji1548][emoji1752][emoji1545]Exactly, wao walikuwa wanajiegesha kwenye kutekeleza ilani yao while in rewal snese they were making political public ralies! all in all, let us have katiba mpya and tume huru!
Una akili finyu kama matako ya bata JoSasa mbona Tundu Lisu na Lema NAULI wanaomba CCM?
😄😄Una akili finyu kama matako ya bata Jo