Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ili iwe fundisho kwa wengineMahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na misokoto 200 ya bangi yenye uzito wa gramu 566.9
Hakimu wa Wilaya, Jumaa Mwambago alianza kusikiliza kesi hiyo Novemba 19, 2018 baada ya washtakiwa kuwa wamekamatwa Novemba 8, 2018 na misokoto hiyo ya bangi
Hukumu ilitolewa mshtakiwa Humphrey Charles bila kuwepo Mahakamani ambapo Mahakama imetoa amri ya kutafutwa na kukamatwa huku Alex Laurent akiwa ameanza kutumikia kifungo chake
Citizen
duuh. mbona kuna watu wanakutwa na shamba zima sijawahi kuona wamepigwa miaka mingi hiviMahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na misokoto 200 ya bangi yenye uzito wa gramu 566.9
Hakimu wa Wilaya, Jumaa Mwambago alianza kusikiliza kesi hiyo Novemba 19, 2018 baada ya washtakiwa kuwa wamekamatwa Novemba 8, 2018 na misokoto hiyo ya bangi
Hukumu ilitolewa mshtakiwa Humphrey Charles bila kuwepo Mahakamani ambapo Mahakama imetoa amri ya kutafutwa na kukamatwa huku Alex Laurent akiwa ameanza kutumikia kifungo chake
Citizen
Alcatraz ilishafungwa kitambo tangu 1963 hukoWale madogo waliokutwa na Heroin kilo 30 watapelekwa Alcatraz nadhani.
Hakimu katumia Sheria wewe unaleta porojowakate rufaa hao, hukumu ya kipumbavu sana, Ukizingatia wamekutwa na nusu kilo y misokoto na pia bangi sio madawa ambayo yana madhara makubwa kiasi hicho kwani nchi nyingi yameruhusiwa
sheria gani? weka kifungu hapaJakimu katumia Sheria wewe unaleta porojo
Kifungu ili upate Nini?sheria gani? weka kifungu hapa
si ili tujue hiyo sheriainasemaje mzee?Kifungu ili upate Nini?
Ni lini binadamu amewahi kupata fundisho? Wew papuchi umeacha japo kuna ngwengwe?safi sana, iwe fundisho kwa wengine
umejuaje ? kama napiga puli je ?Wew papuchi umeacha japo kuna ngwengwe?