kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu.
Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah!
Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku?
Muziki unaopigwa yaani hapa logde ni usumbufu mkubwa sana. Kwanini hawalazimishwi kuweka soundproof?
Tunachukua hatua gani iwapo huu usumbufu unaendelea kila siku hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app