K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,634 Reaction score 7,015 Apr 1, 2020 #1 Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki unaopigwa yaani hapa logde ni usumbufu mkubwa sana. Kwanini hawalazimishwi kuweka soundproof? Tunachukua hatua gani iwapo huu usumbufu unaendelea kila siku hivi? Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki unaopigwa yaani hapa logde ni usumbufu mkubwa sana. Kwanini hawalazimishwi kuweka soundproof? Tunachukua hatua gani iwapo huu usumbufu unaendelea kila siku hivi? Sent using Jamii Forums mobile app
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,592 Reaction score 11,810 Apr 1, 2020 #2 Inategemea Nani kaanza kujenga [emoji3][emoji3] Kama umeikuta lodge ya watu kuwa mpole tu kaka (jokes)
Inategemea Nani kaanza kujenga [emoji3][emoji3] Kama umeikuta lodge ya watu kuwa mpole tu kaka (jokes)
Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,074 Apr 2, 2020 #3 Wambulu ni kati ya binadamu ambao hawajastaarabika na pia ni nadra sana kusafiri kwenda popote Sent using IPhone X
Wambulu ni kati ya binadamu ambao hawajastaarabika na pia ni nadra sana kusafiri kwenda popote Sent using IPhone X
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Apr 2, 2020 #4 Safari tulionayo bado ni ndefu sana
tzkwanza JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 1,568 Reaction score 3,610 Apr 2, 2020 #5 Kusema ukweli mimi napenda sana kuishi kwenye mitaa iliyochangamka 24/7...tumetofautiana. Tena hapo karibia na club ni rahisi sana hata kula kimasihara. Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ukweli mimi napenda sana kuishi kwenye mitaa iliyochangamka 24/7...tumetofautiana. Tena hapo karibia na club ni rahisi sana hata kula kimasihara. Sent using Jamii Forums mobile app