The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati.
Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa kujifanya wagombea wa vyama vya siasa ili kuwawekea mapingamizi wapinzani
Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa kujifanya wagombea wa vyama vya siasa ili kuwawekea mapingamizi wapinzani