The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Nov 13, 2024 #1 Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati. Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa kujifanya wagombea wa vyama vya siasa ili kuwawekea mapingamizi wapinzani Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati. Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa kujifanya wagombea wa vyama vya siasa ili kuwawekea mapingamizi wapinzani Your browser is not able to display this video.