Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

Nchi ya kihuni hii ....makada wana piga mapolisi ......mapolisi wanapiga makomado [emoji849][emoji849]kiboko wa makomando ni polisi na kiboko ya mapolisi ni makada wa ccm ...huu ni ungese wa hali ya juu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…