Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mpendu amesema walioondolewa ni baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali kupitia chama CHADEMA ambao kwa makusudi au kutojua waliomba kuwa mawakala wakati wao ni wagombea wa nafasi mbalimbali jambo ambalo ni kinyume na kanuni na sheria inayosimamia uchaguzi wa Serikali za mitaa.