Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Sharohphp... wapenzi lazima wana jinsi na maneno yao ya kuitana
ambayo nyie wahusika manakua mnafurahia na kusikia wapendwa zaidi...
Haiwezekani wooote wakuite hivyo hivyo... mpenzi katika maisha ni mtu
very unique thus a unique way of calling huyo mpenzi... katika maneno
yoote kumuita mume wangu beibe ni zito hua naona mwanaume ndo
mahala pake kumuita mdada...
Hilo neno baby... ina wataalam ya jinsi ya kuita kumaanisha mpenzi badala
ya mtoto (m/me mwingine akikuita hutaki arudie tena!)
- if the rite guy call you baby (infact it is beibe) with the right
attitude na tone.... naona nisiende mbali..
Enways just uamuzi.. wewe waweza usilitumie...
Inaongeza hamasa!!!
wewe nawe mapenzi ni sanaa au hujui?
Mapenzi siyo science kusema yana formula,
Ni Sanaa inayohitaji ubunifu wa maneno na vitendo
Ni hisia zinazompelekea mtu kuropoka maneno yenye kutaka kumjenga mwenzi wake kihisa pia,
Hayana mwongozo zaidi ya kunyumbua na kujinumbulisha kwa kila kinachoonekana Chafaa,
Walianza na kifo cha membe sasa kuna hadi style ya Mtaka cha uvunguni,
Ujio wa style zote ni ubunifu na ujuaji wa kila mmoja awapo shughulini.
Mapenzi Ni sanaa na msanni ni wewe na mwenzi wako,
Ubunifu ndio pekee utakao dumisha mapenzi
Hizo babie, honey sweet ndo zinadumisha maloveee dogo!!
utasinzia na nini sharo?Tutasinzia???
utasinzia na nini sharo?
Tunadanganyana,
navojua baby ni mtoto mdogo tena asieweza hata kuongea, sasa inakuaje leo watu wazima tunadanganyana kwa kuitana majina ya ajabuajabu? Mfano sweet/tamu, kwani kuna mchungu au mchachu?
Mamy/mama, kwani umenizaa?
Honey/asali, kwani mi nimetengenezwa na asali?
Jamani situitane tu majina yetu? Hivi ukiniita Mujuni ndo nitaona kuwa hunipendi? Au ndo stimu hazitakuja? Kwa nini tunadanganyana wakati asilimia kubwa hata hawamaanishi wanachokisema?
Please, may I submit this thread?
Kwani umelazimishiwa....kama hutaki mwambie mwenzako asikuite hivyo!
Kaazi kweli kweli!Code:Kwani umelazimishiwa....kama hutaki mwambie mwenzako asikuite hivyo!
La ajabu ni kuwa akipachikwa hayo majina udende humdondoka lakini akija humu jamvini aanza kusagia....lol.................