Babu aliyemfanyia tohara dogo Janja afunguka,asema Uwoya ni size yake

Sani ni kawaida kuandika hivi, hawa walizoea madenge, lod lofa na Pimbi
 
Tunazima mziki tunawasha kiki
 
Na Irene Uwoya nayo ina ukubwa gani?!
 
Haya magazeti yanawajaza watanzania ujinga.
Mimi nimecheka na hiyo habari yenye picha korea inatisha marekani sasa yakubari
 
Hivi huu upumbavu kwanini tuna ruhusu jamii yetu ilishwe takataka kama hizi?
Hivi tunajenga ama tunabomoa maadili ya kizazi kijacho..?
Wizara ya habari utamaduni na michezo je hizi ndio habari za kuipeleka mbele Nchi yetu?
kuna ulazima wa haya magazeti ya udaku yote kufungiwa. Hayana msaada wowote kwa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…