Babu aliyemfanyia tohara dogo Janja afunguka,asema Uwoya ni size yake

gazeti kama hili huwezi kusikia hata likikemewa na msemaje wa serikali au waziri. subiri sasa yale yanayoandika madudu ya serikali uone yanvyofanyiwa
 
Huyo Babu inaonekana aliliwa jicho na Dogo Janja "Aisifiae Mvua.........
 
dogo janja hata balehe hajamaliza kwenda kujitwika zigo ndio nini jamani......genye za balehe zikimuisha atajilaumu sana
Kwanza ni kweli au kik nnya
Mbona kadi ilikua na jina Pierre?
Teh mi habari za uwoya zimenikinaisha
 
Magazeti kama haya ni yakufungia maana wamekosa cha kuandika! Watanzania wanamatatizo kibao yakuandika then with profesional wanaandika utumbo huu
 
Gazeti linaitwa sani anyway na mm si MTU wa mchezo
 
nitamtafuta huyo babu nina baby boy amtahiri.
 
Tofauti ya miaka 5 mbona sio kubwa sana?? Watu mmsolewa na waume mmewazidi miaka 2,3,6n.k
 
Magazeti ya udaka mengi yafutwe na shilawadi siona cha maana zaidi ya ujinga tu
 
Tangu atahiriwe ni Leo kwa dini yao na mila tohara ni kati ya miaka 4hadi 9.pili angekuwa na hogo habari zingesambaa kitamboo.iyo uza gazet lako tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…