Babu aliyemfanyia tohara dogo Janja afunguka,asema Uwoya ni size yake

Kwahiyo picha ya nyeti za Dogo Janja zimemkaa babu kichwani kwake kwa miongo zaidi ya miwili?

Babu nina wasiwasi
 
Babu mchimba chumvi tu wa kijijini kawajuaje wote hao kina uwoya, wolper, aunt ezekiel etc..??
 
Hatari kumbe tohara nayo inasaidia kufanya watotowetu wawe tishio ngoja nimpeleke mwanangu kwa huyo babu
Mwache dogo afike miaka kumi natano ndo umkate. Atakua na mguu wa mtoto katikati ya miguu yake [HASHTAG]#over[/HASHTAG]
 
BAADA YA KUUPITIA HUU UZI,
Nikakumbuka Hotuba za P. W. Both

"Hawana lolote jema isipokuwa mashujaa wa kupiga kelele, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na kupenda sana ngono. Hebu sasa tukubali kuwa mtu Mweusi ni alama ya umasikini, udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa ushindani. Hivi hapo je, si kweli kwamba mtu Mweupe aliumbwa ili kumtawala mtu Mweusi? Hivi utajisikiaje unaamka asubuhi unakuta Kaff*ir amekalia kiti cha utawala? Hivi unajua kitakachotokea kwa wanawake wetu? Hivi kuna mtu anawaza kwamba Mweusi ataitawala nchi hii"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…